Hapo kale, palikuwa na askari mmoja aliyeitwa ZEZEZE ambaye alijeruhiwa mgongoni kwa kupigwa mshale akatoka vita. Baada ya kurudi kambini akaenda kwa daktari. Daktari alichunguza jeraha lake na kusema: “Usiwe na wasiwasi, litapona tu. Ni kazi rahisi kuutoa mshale.” Daktari aliposema hayo alichukua mkasi mmoja mkubwa akakata kijiti cha mshale https://bihlmayermedia-bilder.com/4-advent/